iqna

IQNA

hashd shaabi
TEHRAN (IQNA)- Mazishi ya wanachama wanne wa Harakati ya wapiganaji wa kujitolea wa wananchi wa Iraq maarufu kama Al Hashd al Shaabi (PMU) ambao wameuawa na Marekani yamefanyika leo Baghdad, Iraq.
Habari ID: 3474054    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/29

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya wapiganaji wa kujitolea wa wananchi wa Iraq maarufu kama Al Hashd al Shaabi (PMU) imefanya gwaride kubwa lililopewa jina la 'Idi ya Hashd' siku ya Jumamosi 26 Juni kwa mnasaba wa mwaka wa saba wa kuanzishwa kwake.
Habari ID: 3474050    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/28

TEHRAN (IQNA)- Mwenyekiti wa Muungano wa Fath nchini Iraq amesema Jeshi la Kujitolea la Wananchi Iraq, maarufu kama Hashd al Shaabi (PMU), kwa damu yake toharifu limeweza kuipa nguvu serikali ya Iraq na hivyo kila ambaye anataka kusamabratisha nguvu na uwezo wa jeshi hilo kimsingi atakuwa amedhoofisha nguvu za taifa la Iraq.
Habari ID: 3473955    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/28

TEHRAN (IQNA)- Chombo kimoja cha habari nchini Iraq kimetangaza kuwa, shambulio la magaidi wa kundi la ukufurishaji la DAESH (ISIS) dhidi ya wapiganaji wa Al-Hashdu-Sha'abi katika mkoa wa Salahuddin limefanywa kwa msukumo na msaada wa Marekani.
Habari ID: 3473586    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/24

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Jeshi la Kujitolea la Wananchi wa Iraq maarufu kama Al-Hashdu-Sha'abi au PMU amesisitiza ulazima wa kutekelezwa agizo la bunge la nchi hiyo la kutaka askari wa jeshi la Marekani waondoke nchini humo.
Habari ID: 3473569    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/18

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa na kusema hatua ya Marekani kuiwekea vikwazo Harakati ya Wapiganaji wa Kujitolea Iraq maarufu kama Al Hashd Al Shaabi (PMU( ni sawa na kuipa harakati hiyo medali ya fahari.
Habari ID: 3473541    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/09